Kitabu cha watoto cha lugha mbili kwa miaka 2-3 na zaidi Kiswahili Kiingereza
Lulu hawezi kulala Mwanasesere zake zote wanaota sasa papa tembo panya mdogo dragoni kangaruu na kitoto cha simba Hata dubu ana shida kuendelea kufungua macho yake
Dubu je utanipeleka kwenye ndoto yako
Huu ni mwanzo wa safari ya Lulu iliyomwongoza ndani ya ndoto ya mwanasesere zake na mwisho kwenye ndoto yake nzuri sana kuliko zote
Kwa picha za kupaka rangi Kiungo ...
Antes de iniciar la lectura de tu eBook o Audiolibro, lee la guía para descargarlo.